itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
Pamoja Mkuu jana kazini kulikuwa na KAZINilimzingira achague aidha atoe goli mbili au ashinde hata kwa goli 1 anirudishie hela.
Akanamua kunipa yote japo kwa mbinde maana kuna goli mbili zilikataliwa. View attachment 3655995View attachment 3656001
Helaaaa Hii wakuu,,
Zote silaha kiongozi.... Mimi Ile mikeka ya dau Kubwa sizidishi odds 2.5..Hizi odds za 1.1 mimi naona zinachosha sana. Odds zangu za kuanzia ni 1.2 na kuendelea.
Haya ..kabaki Chelsea.....
Kboooommmm 💥 💥 💥 💥
Kboooommmm waliobaki wote niliwapa double chance one up...wametoaView attachment 3656358
Kuna mwehu atatia maziwa kwenye supu....
Duh kanji kachoropoka na hapa 🙌🙌TRENI NILILO POST HAPA TOKA KIPINDI CHA KOMBE LA DUNIA LIMEBAKISHA MECHI MBILI TU ..KANJI ANA OGOPA KUWEKA HATA CASH OUT AU WENGI TULICHEZA NDIYO MAANA ANAJISHAURI KUWA AKIWEKA CASH OUT WATU WENGI WATATOA ?
Botafogo mngese... Unapigwaje 3 mnyoooko ..... Shenzy sana
Upo sahihi mkuu ndio uwekezaji huoView attachment 3656505
Ukipenda tafuta 5 tu unazoziamini haukosi odds 1.8-2.5.
Jamani Mimi nachofanyaga ni kutengeneza summary ya mechi ,za siku kwa machaguo mbalimbali ila ntakuwa na wangu mmoja nnao amini ambao hauvuki odds 2.5. huo ndio natia mzigo...