Kila la kheri mkuu. Lakini Aston Villa tayari mtu kalimwa nyekundu hukoMechi 11
Odds 6.5
No sending off
Wahi uka renew mkuu. Hakuna namna hawa mbwa watashinda hii gemu. Mbombo ngafu!Man city naye anafanyaje tena
Kila la kheri mkuu. Weka mzigo ukamnyooshe KanjiKuna hii no sub firt half team 9.
Odds 4.
Kwisha kazi mkuu. Mbombo ngafuCity anatulaza na viatu mapema tu
Sijaweka huyoKila la kheri mkuu. Lakini Aston Villa tayari mtu kalimwa nyekundu huko
Chupuchupu mkuuDah city city wanaua mikeka
Yeah league zimeanza kwa kishindo.PSG wanabeti kabisaaa hawa sio bure an timu za pressure juu juu me sizitaki dah an kama anacheza tu na faranga zetu hata afanye comeback lakini anazingu alooTulitaka LEAGUE ianze aiseeee kweli imeanza