Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya kuumiza kichwa kwa league za australia nikapata muarobaini wake.

WAle wanafungana hovyo hovyo. Nikapata tobo ambalo mrusi bado hajalisanukia.

Wale huwa dawa yao ni 1.
Select mechi zako 4 au 5.
Afu unatembea na

Ova 1.5 in 75 min
Atleast 1 team will score over 1.5
Both team will score in 75 min Yes.

Oyaa hapo odds 10 kwako itakuwa mtelezo tu.

Kama GG unahofu nayo ndani ya 75min basi una oick
Ova 1.5 in 75 min
Na una pick atleast 1 team will score ova 1.5 goal

Mechi zao saa 12 morn hadi saa 4 ushapata kodi
 
Wale wa kutafuta odds 3 au 4
Best opt ni hivi.
Chagua team 5 kila league toa mechi 1.
Then pick hivi..

Kwa apps za mrusi.

Goal after corner No.
Injury time goal No.
Sending off No.

Hizi opt kwa mechi 5 huwa ni odds 4

Wale ambao wanajua mechi itakuwa na magoli
Best pick ni.
Goal scored by kicking pick yes huwa na odds 1.2/1.15 kwa mechi 7 ndiyo unapata odds 4.

Wazee wa kujilipua
Mechi 3 odds 4 ni.

BAll enter pick No.
No penalty no sendi off. Yes
Hizi mara nyingi mechi 3 huwa na odds 5.

Nqweka slip chini hapo
Oyyyy tuma code ya 1xbet ya huo mkeka mimi hizo option nimezitafuta sijaziona.
 
Team 7 odds 5.
Kona goli hapana
 

Attachments

  • Screenshot_20260823_131412_Helabet.jpg
    Screenshot_20260823_131412_Helabet.jpg
    146.7 KB · Views: 11
Team 7
Odds 4.
Hakuna goal dk za majeruhi
 

Attachments

  • Screenshot_20260823_131728_Helabet.jpg
    Screenshot_20260823_131728_Helabet.jpg
    136 KB · Views: 13
Mechi 11
Odds 6.5
No sending off
 

Attachments

  • Screenshot_20260823_132544_Helabet.jpg
    Screenshot_20260823_132544_Helabet.jpg
    127.9 KB · Views: 12
Wazee,nipeni uzoefu wa Paripesa Kwa wanaoitumia,Haina shida changamoto yoyote Ile?
 
Back
Top Bottom