Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
KboooommmmView attachment 3655679
Ngoja tutupe kombeo la mwisho....
KboooommmmView attachment 3655679
Ngoja tutupe kombeo la mwisho....
Ametoa mkuu hongera,, hii second half goli mbili unyamaPorto peke yake alinichania 1H odds 12View attachment 3655858View attachment 3655859, lakini sijaridhika nimemfata 2H apate goli 2 amalize na mkia kabisa ieleweke
Boom🔥🔥5N6BVT..Sportybet
kifupihizitimukubwaweken magoli
1-2
mechizamwanzo ndio wanarudisha pesaza wachezajiwao
we ukisikia sijuinani kanunuliwa Hamilton huu ndiomda wanadili na makamaria kurejesha hela zao
Kanji anapenda kula yeye sema game mbili za kusikilizia hata iyo hela siyo nyingi akiweka cash out anaweza akatoa hela ndogo sanaTRENI NILILO POST HAPA TOKA KIPINDI CHA KOMBE LA DUNIA LIMEBAKISHA MECHI MBILI TU ..KANJI ANA OGOPA KUWEKA HATA CASH OUT AU WENGI TULICHEZA NDIYO MAANA ANAJISHAURI KUWA AKIWEKA CASH OUT WATU WENGI WATATOA ?
Hapo cash out inatakiwa kuwa si chini ya laki ..pia usiseme siyo hela nyingi inategemea mkeka ulichezwa na watu wangapi na kwa dau gani maana niliupost hapa jf na kwenye comment za sportbet inawezekana jf waliucheza watu zaidi ya elfu moja na usikute kuna waliotia elfu 20000 nkKanji anapenda kula yeye sema game mbili za kusikilizia hata iyo hela siyo nyingi akiweka cash out anaweza akatoa hela ndogo sana
Nilimzingira achague aidha atoe goli mbili au ashinde hata kwa goli 1 anirudishie hela.Ametoa mkuu hongera,, hii second half goli mbili unyama
Pole sana mkuu Mtoto wa nzi, usilie! Tunakula vipigo lakini hatukomi. Leteni mikeka ya leo tukopi wazee.
Hizi odds za 1.1 mimi naona zinachosha sana. Odds zangu za kuanzia ni 1.2 na kuendelea.