JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Acha utani basi mkuu!Lolote linaweza kutokea
Hiyo mitambo ya kuchakata magoli umeiona vizuri?! Vua miwani basi!
Acha utani basi mkuu!Lolote linaweza kutokea
Kwenye hii code...
Player not to score yes...ni ;
Julian alvarez...!
Ousmane dembele...!
Lamine yamal...!
Mkeka huu...umechanika kabla hata game hazijaanza!
Anyway...labda!... kwa kuwa hii ni betting
Kwan ukisikia mtu kapiga million 150 inakuwaje mkuu sindo kama iv tena unakuta umestack kwa 100 ila odds mlima dembele game ngap zinapita hapati goal mzeeAcha utani basi mkuu!
Hiyo mitambo ya kuchakata magoli umeiona vizuri?! Vua miwani basi!
😂😂J naomba odds 10
Baadae nitaufanyia surgery huu mkeka....Nimetoa code sehemu
Mimi sina nguvu ya kutengeneza mkeka wa aina hiyo
J naomba odds 10
Kampuni gani hii6347J9
Odds 800+
All giants kutoka league tofauti to win.
Sportbet kkKampuni gani hii