Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ndiyo leo. Hii kazi ni noma. Kama una roho nyepesi unaweza pagawa.

Ndiyo maana Deo Corleone (mmoja wa waanzilishi wa huu uzi, page ya kwanza ya huu uzi kuna comment yake) amenyoosha mikono. Anakwambia "hata utumie mbinu zipi, hata uumize kichwa vipi, bado betting ni ngumu".

Japo vichapo ni vikali. Hakuna kukata tamaa wazee.
 
Total odds 5
Sportybet: 5M0LQL
 

Attachments

  • IMG_20260829_185658.jpg
    206.8 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…