Pole mdau hii Kazi ya Jeshi
hawa jamaa mech mbili wanatoa salePARIS SAINT GERMANY
View attachment 3659240oyaa wanangu bila kuchokaaaa.......
Huyu Dortmund kuna muda anakengeuka.View attachment 3659240oyaa wanangu bila kuchokaaaa.......
Ndio nikeshaweka Mzee mwenzangu.... Kwa umuhimu wa game ya kwanza na wako home na ule moto waliompelekea Munich kwenye kufungua ligi.. acha anikule tu ... Nimemuamini...Huyu Dortmund kuna muda anakengeuka.
👍🏼👍🏼Ndio nikeshaweka Mzee mwenzangu.... Kwa umuhimu wa game ya kwanza na wako home na ule moto waliompelekea Munich kwenye kufungua ligi.. acha anikule tu ... Nimemuamini...