Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyo kazidi bana, angeweka 5000 ambayo ni mlo wa mchana, angetoka na 160, 000 hapo ni bajeti ya mwezi ya msosi
Wakati mnapiga domo si kuchungulia mechi nikaona madini nikaweka mkeka kwa 500 tena odds39 ngumu kumeza
 

Attachments

  • Screenshot_20260827-023349_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260827-023349_SportyBet.jpg
    177.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20260827-023447_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260827-023447_SportyBet.jpg
    142.7 KB · Views: 9
Huyo kazidi bana, angeweka 5000 ambayo ni mlo wa mchana, angetoka na 160, 000 hapo ni bajeti ya mwezi ya msosi
Kisha nikasukumia na huu single mechi tayari kwa huu usiku nimetumia 2500 kwa hii mikeka yote na kula sh 40000 wewe unaye cheza sh 5000 umekula sh ngapi hadi saa hii😁
 

Attachments

  • Screenshot_20260827-023822_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260827-023822_SportyBet.jpg
    154 KB · Views: 10
Habari wakuu..mwenye maarifa na Skybetmax
Kuna mzigo nimeshindwa utoa.
Napata ujumbe ni upgrade account kwanza.
 
View attachment 3657206
4 ODDS ON BETJAM ⚽

Code👉 NHQFF

📌 Bado Hujajisajili Betjam?

Jisajili Betjam Hapa👇👇

https://bjam.to/bet255

https://bjam.to/bet255

📌Promo Code👉: BET255

Application Download 👇👇

https://bjam.to/bet255apk
BOOOOOOOM ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

4 ODDS BOOOM ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

204k WON🔥✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅🔥

📌Jisajili Betjam Kwa Kutumia Promo Code👉 BET255

Jisajili Kwa Link Hii 👇

https://bjam.to/bet255

https://bjam.to/bet255

📌Promo Code Jaza👉 BET255

📲 Download App Here👉: https://bjam.to/bet255apk
1000625973.png
 
Sawa afsa ubashiri
AKILI AKILI AKILI ...mimi mtu anaye kula mili 3 kwa kucheza mil 1 huyo kwangu siwezi kumpa heshima ...kwangu anaye kula 20000 kwa kucheza sh 100 namuheshimu sana na Code zake naziheshimu na ninaweza kuchukua code zake ..kwa sababu ustadi wa kucheza kamari upo katika wingi wa odds unazo shinda na siyo pesa unayo shinda.
 
Aya, tuchukue Odds 6 za matumaini.
Sportybet: 56F2A0
 

Attachments

  • share_image_0_1787819058640.jpeg
    share_image_0_1787819058640.jpeg
    144.5 KB · Views: 10
AKILI AKILI AKILI ...mimi mtu anaye kula mili 3 kwa kucheza mil 1 huyo kwangu siwezi kumpa heshima ...kwangu anaye kula 20000 kwa kucheza sh 100 namuheshimu sana na Code zake naziheshimu na ninaweza kuchukua code zake ..kwa sababu ustadi wa kucheza kamari upo katika wingi wa odds unazo shinda na siyo pesa unayo shinda.
Mr bet ni mchezo wa kubahatisha kwaiyo lengo ni kushinda na kushinda hakujalishi umeweka kiasi gani
 
Back
Top Bottom