Iv kumbe nao huwaga wanakoseaga naomba wakosee kwangu kwenye mikeka yangu ya million 150 watajutaWamejichanganya wenyewe kwa kuniwekea WON View attachment 3659105 Mkeka ambao ni lost, sasa hivi wakaniwekea deni 5999 sasa kosa la nani!
Hii game walikosea wakaweka win dakika 2 kabla ya mechi kuisha. Wakati penalt ya geita inapigwa tayari washanipa hela. Nikabetia tote nikaacha 4200. Nikatafuta game nyingine mbili za haraka nikabeti inagoma walikiwa wameshasahihisha nikaona deni hilo la 5999.Iv kumbe nao huwaga wanakoseaga naomba wakosee kwangu kwenye mikeka yangu ya million 150 watajuta
Hata goli anashindwa kupata ....PSG ni daaahBayern Win
City Win
PSG win
Yeyote asiposhinda hasara kubwa
odds 3.7
Kboooommmm 💥 💥 💥 💥View attachment 3658457
Wanangu bila kuchokaaaa .......
Na huu nao kboooommmm 💥 💥 💥 💥 💥 Asante PSG...