Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
SlovakiaLeague ipi nyingine ambayo wanafungana sana.
Leo nataka nijaribu hii ya Australia magoli tu
Let me try hakuna kuacha pesa za kanjiSlovakia
Mechi kuisha 5:6 kawaida sanaa
Opt ya GG au ova 2.5 inatoa sana ligi zao
NILIKUWA NA SHIDA NA 100K, SASA MTAJI WANGU ULIKUWA NI 50K. nkaomba odds kwa wataalamuna hapa. niwashukuru mnoo. ntajiunga rasmi kwenye uzi huuUmefanikiwa kufanyj mkuu
hizi stake hujashare humu ndani mkuu?
Norway, Sweden, Finland, Switzerland, Iceland, feroe island, German, uholanzi...League ipi nyingine ambayo wanafungana sana.
Leo nataka nijaribu hii ya Australia magoli tu
Kwamba unajiunga rasmi au sioNILIKUWA NA SHIDA NA 100K, SASA MTAJI WANGU ULIKUWA NI 50K. nkaomba odds kwa wataalamuna hapa. niwashukuru mnoo. ntajiunga rasmi kwenye uzi huu
Nime-share muda tu...!h
hizi stake hujashare humu ndani mkuu?