sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 5,203
- 13,364
Hii kama pesa hii
Hii kama pesa hii
Ndio unajifunza kubeti au ni mgeni tu kwenye huu uzi lakini ni mzoefu?NILIKUWA NA SHIDA NA 100K, SASA MTAJI WANGU ULIKUWA NI 50K. nkaomba odds kwa wataalamuna hapa. niwashukuru mnoo. ntajiunga rasmi kwenye uzi huu
Game ya PSG vs Monaco, ipe double chance, PSG huu msimu wameanza vibaya, game mbili za mwanzo wame drawMadrid win
liverpool win
PSG win
Madrid 1+
Liverpool 1+
PSG 1+
Sema psg anapptezaMadrid win
liverpool win
PSG win
Madrid 1+
Liverpool 1+
PSG 1+
Imechanika
Mimi nilijaribu hii opt et ina odds 1.15 lakini ikachanaWakuu hii kazi ya kubet ni kushindana na nguvu za giza, kuna game huko h2h wamekutana mara 8 zote dc ya 12 ziliwin leo nikaweka yeyote ashinde eti wametoka 0:0
Bado Tu wenzetu mnabetia PSG??psg na real Madrid leo ndio jungu kuu halikosi ukoko
Na ukoko ndo huu,
Tulia kwanza tumalizane na Madrid kabaki yeye...Anypossible za kesho wakuu
Real nae mkuuBado Tu wenzetu mnabetia PSG??
Wamepita penati na wamekosaHii Game ya Viking ishanunuliwa. Kazi kwelikweli
Madrid anashinda Hii gemu Bado kidogo tuReal nae mkuu