Ni kuchanganyikiwa tu mkuu na matokeo ya hii team ya the ordinary one.Nimekusamehe. Usirudie tena
Ni kuchanganyikiwa tu mkuu na matokeo ya hii team ya the ordinary one.Nimekusamehe. Usirudie tena
Majinga sana hayo matoto. Yanadhani huwa tunabet kwa kutumia maweNi kuchanganyikiwa tu mkuu na matokeo ya hii team ya the ordinary one.
Nunua njumu hata za cosovo,, mambo yakiwa magumu kama leo unazama
Before gameNunua njumu hata za cosovo,, mambo yakiwa magumu kama leo unazama
Sahz milio imeanza kusikika 😂😂😂Before game
View attachment 3663629
Kapita na mia yangu kizembe sanaDah psg
😂😂😂 Uhalisia ndo huo lakini usiache kuweka majamviWakuu hii kazi ya kubet ni kushindana na nguvu za giza, kuna game huko h2h wamekutana mara 8 zote dc ya 12 ziliwin leo nikaweka yeyote ashinde eti wametoka 0:0
Kuna mwaka fulani nilienda Indonesia mji mmoja unaitwa Medan kumtembelea brother nimekuta napo kule watu wanajilipua😂😂😂😂 nikasema daaah, hii kitu ni worldwide kumbe.😂😂😂 Uhalisia ndo huo lakini usiache kuweka majamvi
Betting ipo under Asmodeus mwenyewe.
Hiki kitu kipo worldwide lazima kutakua na power Ina control matokeo yote maana mtu aliyepo katavi ,kigoma ,shinyanga mpaka kule rukwa wote wanaweka mikeka na sio hao tu mpaka huku Iran, Madagascar, Kenya , Thailand mpaka Nepal wote wanaweka mikeka tena kwa team kubwa 😂😂
Dah kama ukweli vile, maana sio kwa vipigo hiviBetting Ipo under control ya Nguvu za Giza huo ndo ukweli na ndo maana kuna utitiri Wa makampuni
Unapo log in kwenye kampuni pale akili inakuwa sio yako tena amini nakwambia
Hata ukilog in kama SMART PASSENGER tu lazima u-lose smartnessBetting Ipo under control ya Nguvu za Giza huo ndo ukweli na ndo maana kuna utitiri Wa makampuni
Unapo log in kwenye kampuni pale akili inakuwa sio yako tena amini nakwambia