Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anypossible za kesho wakuu
Screenshot_20260905-083950_Chrome.jpg
 
Kama mnataka kukuza mitaji yenu.
Nendeni live bet.
Kuanzia dk ya 70.
Anayeongoza kwa goli 2 mpe direct win.
Mechi 5 huwa odds 2.3
Ndani ya dk 20 unakuwa ume double mtaji
Dakika ya 70 Huwa zinachana sana labda ungesema kuanzia dakika ya 85 nayo sio possible kwa 100% mda wowote kipigo.
utakufa vibaya wewe.
Labda hizo direct win
 
yule aliyetaka kujiingiza kubeti kama amekutana na matokeo ya madrid na ya PSG, halafu aje akutane na Barcelona au Man U inakuwa ni dawa tosha na yenye nguvu ya kuacha kubeti.

Ni sawa unajifunza kunywa pombe unaanza na ile sijui pingu ambayo kabla ya kunywa mama muuza anakufunga kamba humu chini kwenye suruali.
 
Bila hivyo lazima mtu aache mavi
 
Back
Top Bottom