Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

68PKTF na 5299SW kampuni ni Sportybet game za saa nane mchana wadau, tujaribu hizo code mbili hapo.
Bet Won. Hongera na asante sana mkuu...wewe ndiye wa kututengenezea odds ndogo ndogo. Huna mbwembwe nyingi.
 
Asubuhi kama utani Manchester nikaweka under 1.5, ilikuwa na odds 7, stake 2000.
Muda huu natoka saiti naingia fesibuku nakutana na watu wanalalamika kwamba inakuwaje Manchester atoe goli Moja tu kwenye mechi 🤣
Basi mimi nachekelea kidogo kidogo
 
Screenshot_20260905-195732.jpg
Jf acheni ujuaji.
Mimi Huwa nabeti kama Sina mambo ya kufanya.
Asubuhi nimehamia na 2,000 nataka nicheze jackpot ya Sportpesa pesa muda ukawa hautoshi ikabidi niingie betpawa nikachukua mechi ya Manchester nikaweka under 1.5 nikaenda saiti. Jioni hii ndiyo nawasha data naingia fesibuku nakuta watu wanalalamika. Wewe naye hapa unasema eti chai.
Mimi nabeti Jackpot tu na single beti yenye odds 5 au zaidi. Naweka buku au buku mbili nafanya kama nimempa demu wangu anunue bando tu.
 
View attachment 3664023Jf acheni ujuaji.

Mkuu Huwa tunajaribu kuchangamsha genge ili wa nnje waingie ndani.
Hongera kwa mkamaria huyo kanji
 
Back
Top Bottom