Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zinachanaga tu. Huenda wewe ni plate number F au G

Sisi A chafu tulishapanda kila mtumbwi na ulizama
😀 Plate namba A chafu

Hivi sisi wa 2017 tutakua plate namba ipi, labda C. Nakumbuka naanza kubeti, Mbwana Samatta yupo Genk, Van Persie anachezea Feyernoord, Hans Van Haken ndo usajili mpya wa Club Brugge kwa Sasa ndo captain wa timu, dah nishakuwa mkongwe kwenye game na bado kanji kagoma kuliwa utamu.
 
Tu rebet tu na kuongeza mechi za leo janq kuna mpuuzi mmoja katuchania matreni
 
04/09/2026

EPL


Newcastle unites vs bobournemouth – both team to score

Brighton vs leeds united – Brighton win

Brentford vs sunderland – Brentford win

Man city vs coventry city – Man city win

Nottingham forest vs Tottenham – double chance

Fulham vs crystal palace – double chance

Hull city vs astonvilla – double chance

LALIGA


Athletic bilbao vs Athetico madrid – double chance

Villa real vs deportivo – double chance

BUNDESLIGA


Bayer levakusen vs union berlin – both team to score

Werder bremen vs leipzig – double chance

Paderborn vs Freiburg – double chance

Hoffenheim vs dortmund – double chance

Schalke 04 vs buyern munchen – Buyern win

SERIE A


Intermillan vs napoli – double chance

Roma vs atalanta – double chance
 
Huyu jana kachomoka ila asingenisahau kwa ile kitu ningemfanyia
 

Attachments

  • Screenshot_20260905-125820.jpg
    Screenshot_20260905-125820.jpg
    91.4 KB · Views: 16
04/09/2026

EPL


Newcastle unites vs bobournemouth – both team to score

Brighton vs leeds united – Brighton win

Brentford vs sunderland – Brentford win

Man city vs coventry city – Man city win

Nottingham forest vs Tottenham – double chance

Fulham vs crystal palace – double chance

Hull city vs astonvilla – double chance

LALIGA


Athletic bilbao vs Athetico madrid – double chance

Villa real vs deportivo – double chance

BUNDESLIGA


Bayer levakusen vs union berlin – both team to score

Werder bremen vs leipzig – double chance

Paderborn vs Freiburg – double chance

Hoffenheim vs dortmund – double chance

Schalke 04 vs buyern munchen – Buyern win

SERIE A


Intermillan vs napoli – double chance

Roma vs atalanta – double chance
Pita hapa upate hela ya bia
 
Kuna mwaka fulani nilienda Indonesia mji mmoja unaitwa Medan kumtembelea brother nimekuta napo kule watu wanajilipua😂😂😂😂 nikasema daaah, hii kitu ni worldwide kumbe.
Hii ni worldwide mzee sio Russia sio Australia sio china sio huku bara la giza wote tunatandika mikeka, lazima kuwe na nguvu inayo control matokeo hata wachezaji wenyewe hawaijui hio nguvu ndio Yale ya mbappe yupo na goli anapaisha au unaona Kipa anafuata mpira hata pasipofikika 😂

Anyway tupeni code odds ya 5 tu inatosha😎
 
Back
Top Bottom