AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Kwamba mkeka wako wa weekend hujamuweja RB,BAYAN,MADRID,PSG basi wewe noma kama hujawaweka hao viumbe na yawezekana ww ndio freemason mwenyewe maana huwez kuzikwepa kwa mfumo wowote
Mimi jana kina Madrid na PSG niliwapita kama siwaoniKwamba mkeka wako wa weekend hujamuweja RB,BAYAN,MADRID,PSG basi wewe noma kama hujawaweka hao viumbe na yawezekana ww ndio freemason mwenyewe maana huwez kuzikwepa kwa mfumo wowote
Nipo hapa. Nimeelewa why mchina alisema nimeshindwa kuelewa. Nimeponea chupuchupu.yule aliyetaka kujiingiza kubeti kama amekutana na matokeo ya madrid na ya PSG, halafu aje akutane na Barcelona au Man U inakuwa ni dawa tosha na yenye nguvu ya kuacha kubeti.
Ni sawa unajifunza kunywa pombe unaanza na ile sijui pingu ambayo kabla ya kunywa mama muuza anakufunga kamba humu chini kwenye suruali.
Mbinguni mtapasikia hahahahaMkuu Huwa tunajaribu kuchangamsha genge ili wa nnje waingie ndani.
Hongera kwa mkamaria huyo kanji
halafu akutane na buyern munchen mwenye odds 1,17 halafu anatoka 0-0! huyo mtu hatakuja kuamini betting tenayule aliyetaka kujiingiza kubeti kama amekutana na matokeo ya madrid na ya PSG, halafu aje akutane na Barcelona au Man U inakuwa ni dawa tosha na yenye nguvu ya kuacha kubeti.
Ni sawa unajifunza kunywa pombe unaanza na ile sijui pingu ambayo kabla ya kunywa mama muuza anakufunga kamba humu chini kwenye suruali.
kama betting haijakolea kwenye damu achana nayo, tuachie sisi tunamdai mhindiNipo hapa. Nimeelewa why mchina alisema nimeshindwa kuelewa. Nimeponea chupuchupu.
Nilikweka 50 mkanisaidia nikapata 100k.
Jana sikuweka ushamba umeniokoa
BOOM! BOOM! BOOM! game zote nne ligi ya Uholanzi zimetoa magoli 2.5 over. Hongera kwa wote waliofuata.5DG9UM Sportybet ligi ya Uholanzi game zote za Leo zipo nne zitoe 2.5 goals over
Barcelona kaingiaje apo mkuuyule aliyetaka kujiingiza kubeti kama amekutana na matokeo ya madrid na ya PSG, halafu aje akutane na Barcelona au Man U inakuwa ni dawa tosha na yenye nguvu ya kuacha kubeti.
Ni sawa unajifunza kunywa pombe unaanza na ile sijui pingu ambayo kabla ya kunywa mama muuza anakufunga kamba humu chini kwenye suruali.
Cash outKuna mtu amekula leo?
Sare hii.Hii game ya arsenal yunaipa vp leo waungwana
Naiwazia sana conner hii gameSare hii.
NA magoli under 1.5
Kona under 10.5Naiwazia sana conner hii game
Kikali mnooo 😃😃Kipigo cha jana kilikuwa kikali mnoView attachment 3663770
🤣🤣🤣😂😂😂 Uhalisia ndo huo lakini usiache kuweka majamvi
Betting ipo under Asmodeus mwenyewe.
Hiki kitu kipo worldwide lazima kutakua na power Ina control matokeo yote maana mtu aliyepo katavi ,kigoma ,shinyanga mpaka kule rukwa wote wanaweka mikeka na sio hao tu mpaka huku Iran, Madagascar, Kenya , Thailand mpaka Nepal wote wanaweka mikeka tena kwa team kubwa 😂😂