Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kula over 1.5 ukiwa na roho ngumu pita na GG yes.
 

Attachments

  • SmartSelect_20260906_151944_1xBet.jpg
    231.6 KB · Views: 9
Huu mkeka nilijua umesha chanika baada ya away kupata bao 3 bila dakika ya 60 hivi ..sasa hivi najua sinakitu nafungua sport bet nakuta sh 16,000
 

Attachments

  • Screenshot_20260906-152336_SportyBet.jpg
    90.9 KB · Views: 11
Tunataka dakika 45 za kwanza tuwe tumeshajua kama tunazika au tunasafirisha
 
Zile hesabu za probability hapa ndio penyewe
Unavyo ongeza timu ndio unavyo ongeza idadi ya matukio πŸ”₯
Probability haifanyi kazi kaka , hii betting kuna nguvu ya ziada sio Bure.
Team unaweka 1 na Bado inachana πŸ˜‚πŸ˜‚ .
Week hizi 3 vipigo nilivyopokea ni hatari . Week ya kwanza nikatia kilo akachana man UTD zote zimeenda , nikataka kufukuzia hasara tia tena kilo akachana PSG zote nyingine zimetembea
Week inayofuata akachana PSG tena na zingine zote zinatoa .
Juzi tu hapa dakika 10 Leverkusen anaongozwa goli2 within 10 minutes ikabaki nacheka tu
Week 3 tayari kilo 6 imeondoka πŸ˜… nimeona ngoja nipumzike sio kwa gundu hili
 
Niliwin odds 10 siku 2 mfululizo. Nikajiona mimi ndiyo mimi, najua kubet kuliko watu wote duniani. Nikawa najiona nimefikia level ya uprofessional wa kuchambua mechi.

Kwa odds 10 hizohizo, siku zilizofuata zote nikawa nachezea vichapo. Hata mzuka na umakini wa kuchambua mechi vimekata.

Hapa najiuliza sipati jibu. Ila kwasababu starehe yangu ni kutumia simu kwa muda mrefu. Siiachi hii tasnia.
 
Kanji mapema tu ametema bungo
 

Attachments

  • Screenshot_20260906-193452_1.jpg
    19.3 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260906-193434.jpg
    95.2 KB · Views: 13
Upo sahihi sana Boss Binafsi 2023 niligundua kwamba betting nyuma yake kuna nguvu za giza tangu hapo sichezi odds vidagaa.

Unakuta game team ina odds 1.12 za win wakienda golin mara mwamba mara kipa acheze kumbe golini yupo satani anazuia goli...wametuaminisha betting is all about probability kumbe wana control results kwa nguvu zao za giza

I believe 100% this is satanic project.
 

BOOOOOOOM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

1.1 MILLION WONπŸ”₯βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ”₯

3.3 ODDS BOOOM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

πŸ“ŒJisajili PariPesa HapaπŸ‘‡

https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

πŸ“ŒPromo Code JazaπŸ‘‰ TIPS2424

πŸ“² Download App HereπŸ‘‰: https://paripesa.bet/tips2424app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…