kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Ni uhuni sana, unakuta unachaniwa na timu odds 1.19 halafu uliiogopa mechi yenye odds 2+Upo sahihi sana Boss Binafsi 2023 niligundua kwamba betting nyuma yake kuna nguvu za giza tangu hapo sichezi odds vidagaa.
Unakuta game team ina odds 1.12 za win wakienda golin mara mwamba mara kipa acheze kumbe golini yupo satani anazuia goli...wametuaminisha betting is all about probability kumbe wana control results kwa nguvu zao za giza
I believe 100% this is satanic project.