JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
KUZA CASHOUT CODE 2.
Sio ai hii?View attachment 3665816
KUZA CASHOUT CODE 2.
Game nyingi zitatoa magoal ila kuna moja itaisha 0-0Vipigo mfululizo.
Kila opt ya moto.
Uefa ya leo ina magoli mengi kweli wadau??
Hawa aston kama redee kila dk goliGame nyingi zitatoa magoal ila kuna moja itaisha 0-0
Naiona ya Borussia ikiwa ivyo piaHawa aston kama redee kila dk goli
Vipigo ni vingi mkuu, Asmodeus kashika Kila kona .Uzi umepoa sanaa
Kwamba Kona ya kwanza ipigwe na mguu wa kulia sio?Kwamba kila mtu anaugulia chooni?
Mimi nawapa opt hizi hapa tembeeni nazo
Matokeo ya AEK vs LASK 🤣🤣Game nyingi zitatoa magoal ila kuna moja itaisha 0-0