Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukiwa unatengeneza mkeka kuna zimwi linakuingia aisee! Haiwezekani umefanya uchambuzi wa game tatu ile mechi ambayo h2h hutoa kona nyingi ndiyo unayoibetia zilizobaki hutoa kona chache unaziacha! Mammae muda wa matokeo sasa mambo yanakuwa vice versa
 
🤣🤣🤣 Balaa Mkuu,,harafu week iliyoisha na hii tumekuwa surprised sana na matokeo an hovyo sana,,na hii UEFA naona inaweza kutushangaza maana duh kanji anatembeza paipu kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…