Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Qpps za mrusi kuna opt za kona ya 1 ipigwe kwa mguu gani?
Shoto au lia.

Sasa hapa unachofanya angalia kwenye kila team nani bingwa wa kona and then fatilia takwimu za upigaji wake n mguu upi.

Kama team zote 2 king wao wa kona anatumia shoto basi weka shoto kama lia weka lia mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…