Ivurugike tu ila isituharibie mikekaSportpesa system yake kama imevurugwa hivi. Nimeweka mia wanasema nitashinda 13,000,000,000,000
Mkeka kama huo lazima waufute hiyo figure hata kusoma sijui ni bei ganiIvurugike tu ila isituharibie mikeka
Hizo ni sawa na shilingi trilioni kumi na tatu. 💰 Mkeka ukitiki mkalipane mahakamaniMkeka kama huo lazima waufute hiyo figure hata kusoma sijui ni bei gani
Hata vigezo na masharti yana limits zake!!Hizo ni sawa na shilingi trilioni kumi na tatu. 💰 Mkeka ukitiki mkalipane mahakamani
Hii game ikiisha hivi 1_1 ***** itakuwa balaaKibao kimegeuka psv kapewa odd 4 akishinda.
Wqzee wa kujilipua vp hapo
PSV ameanza kuharibu shughuli dahTHURSDAY FOOTBALL ⚽️
✅1. PSV — Win
✅2. Fenerbahce / Roma — BTTS
✅3. Como — Win
✅4. Slavia Praha / Lens — ov 1.5
✅5. Estrela / Braga — ov 1.5
✅6. Man United — Win
✅7. Bayern — Win
✅8. Panathinaikos — Win
Wekamzigooo
Fenerbahce vs. AS Roma, hii game siyo ya kona, ni ya on target shots. Ishatuchania.
Duuuh kweli hii hela timu zote mbili za mwanzo zimechanika.Wazee chukueni hela hiyo Betpawa. 7EIGDEK
Tumepigwa vibaya huu mkekaFenerbahce vs. AS Roma, hii game siyo ya kona, ni ya on target shots. Ishatuchania.
Option ya corners kijuu kwa juu inaonekana simple. Ni option inayotaka utumie uchambuzi mwingi na akili nyingi.
Mechi unaweza kuiona ya corner, kumbe ya on target. Na unaweza kuiona ya on target, kumbe ya total shots.
Uchambuzi wa corner unategemeana sana na on targets na total shots. Kwahiyo kwenye corner hatuchambui corner pekee, tunashindanisha na on targets na total shots. Tunapata 3-way markets (corner, on target na total shots). Ni sawa na 3-way market ya win, draw na lose.
Ukiwa unachambua corner, huchambui corner pekee, unafanya multiple choice ya corner, on targets na total shots.
Yani timu ambayo ina uwezekano mdogo wa kushinda yenye odds 4 wewe ndio umeipa ishinde halafu ipo away duuh halafu unasema tu stake high duuuh ila baadhi ya mikeka ya humu ni balaa sana.6CEZ0K – sportbet
Stake high