Kweli kabisa maana mikeka yote niliyochukua code nimepigwa vibaya sana......yani timu ya kwanza tu inachana.MEchi ziluzosalia zina odd za mbuzi .kesho nayo siku
Kweli kabisa maana mikeka yote niliyochukua code nimepigwa vibaya sana......yani timu ya kwanza tu inachana.MEchi ziluzosalia zina odd za mbuzi .kesho nayo siku
Ametupia goal 5:0 kanifungia hesabu vizuri sana.bayern safari hii amekuwa kama anko na juma lokole. imagine 1H kushinda alikuwa na 1.25!
View attachment 3668082
Ameshinda goal 5 nongeHuyu bayern huyu qtashindaaa
Unawasemea wale wa first half over 0.5 hawatokuelewaAmeshinda goal 5 nonge
Pale yao aisee, me nilimpa mazima ashinde nilijilipua.Unawasemea wale wa first half over 0.5 hawatokuelewa
Tab ya 3 naona makazio boss😂View attachment 3667448Hizo 3 naona kama zitatoa, kuna braga yupo chini huko nina mashaka naye
Normal kushinda alikuwa na odds 1.08 sasa unazifanyia nini hizi odds, tukaamua kumpa ashinde 1H kwa odds 1.26 matokeo take amepata vino dakika 45 nzimaPale yao aisee, me nilimpa mazima ashinde nilijilipua.
Nyingine nikampa over 2.5
Ni huzuni