Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu??? Kuna kitu naomba msaada hapa.
Mkinisaidia basi usiku wa leo kila mtu atalamba laki laki humuπŸ˜†,

Hii opt ya team assists 1+
Mbona ina odds nyingi?
Ni kweli kama navyoelewa mimi au kuna namna??
 
Nilicheza bila kujua nacheza nini.
Nataka kueleweshwa ukiangalia hapo juu naye alicheza kama.mm na mechi illisha 2:3 mkeka ukawa.lost
 

Attachments

  • Screenshot_20260912_083610_SportyBet.jpg
    149.4 KB · Views: 8
Niliicheza j3 mechi 50.
Leo zimesalia 5.

Juzi nilipita x nikaona mtu kaomba kama mm mkeka ukawa lost, ndo nataka nijue.
Mechi imeisha kwa goli 5 jumla.
Na team yake ime score goli 2.
How comes iwe lost?
Magoli anayofunga mchezaji kwa juhudi binafsi bila kupewa assist na mchezaji mwengine. Unakuta jamaa anapiga chenga wachezaji wawili watatu na kufunga goli hapo hamna assist, penati hakuna assist, anafunga kwa direct freekick hapo hakuna assist, kujifunga hakuna assist pia,
 
Hela ya muhindi ngumu.
Mechi ina goli 5 halafu hakuna assist hata 1????
Oyaaa hii kazi ngumuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…,

Nakusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…