Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
na tips zinatoka wapiWALE WENYE MPUNGA WEKA 100000 KWENYE SIMU
SIKU 10 TIPS
KULA SIKU WEKA 10000 NA ZAIDI
KUANZIA LEO HESABU AFTER 10 DAYS MNA SH NGAPI KWA SIMU
na tips zinatoka wapiWALE WENYE MPUNGA WEKA 100000 KWENYE SIMU
SIKU 10 TIPS
KULA SIKU WEKA 10000 NA ZAIDI
KUANZIA LEO HESABU AFTER 10 DAYS MNA SH NGAPI KWA SIMU
Mwekezaji inabidi uwe na zaidi ya kampuni 3 maarufu au zenye watumiaji wengi maana kuna muda upepo unaenda vibaya inabidi utegemee uchambuzi wa wanaNaomba hii code (Sportbet)
Mtoto wa nziNaomba hii code (Sportbet)
Nimeliona hili mkuu.Mwekezaji inabidi uwe na zaidi ya kampuni 3 maarufu au zenye watumiaji wengi maana kuna muda upepo unaenda vibaya inabidi utegemee uchambuzi wa wana
Mkuu mangi air traffic controller hapo JKNIA nimeicopy hii. Nasuka mkeka.Hapo kata nusu kwa nusu wekamzigo
SPORTYBET hawana hii ni mechi chache sana wanaweka hili soko ...Naomba hii code (Sportbet)
Ndio maana yake ... Sio Kila mechi Assist inapatikana ... Kuna kujifunga, freekicks penalt, Kuna bilabila ... So unavyozidi kuongeza timu katika chaguo hilo ndio unaongeza nafasi ya kukosa ... Upo sawa kabisa Mkuu. Haya lete code ...Mimi navyoelewa ni walau kuwe na assist 1 katika mechi kwenye team husika..
Assist ni pasi ya mwisho kabla ya mtu kufunga
Je,ukiomba hiyo 1+ assist je ni kweli ina maanisha walau team A, unayotaka itoe assist 1???
🤝🤝🤝SPORTYBET hawana hii ni mechi chache sana wanaweka hili soko ...
Mkuu embu nitoe ushamba. Yani hapa ndo umeshinda au umeplace bet imekuwa successful?
Tumekwambia tuma code ya fansport ya ule mkeka wa corner upo kimya.SPORTYBET hawana hii ni mechi chache sana wanaweka hili soko ...
Daah live kuku weweeeeeNdio maana yake ... Sio Kila mechi Assist inapatikana ... Kuna kujifunga, freekicks penalt, Kuna bilabila ... So unavyozidi kuongeza timu katika chaguo hilo ndio unaongeza nafasi ya kukosa ... Upo sawa kabisa Mkuu. Haya lete code ...
Umeona Sasa .... Hakuna goli hakuna assist....Daah live kuku weweeeee
Wewe unaonaje kwani!?Mkuu embu nitoe ushamba. Yani hapa ndo umeshinda au umeplace bet imekuwa successful?
Maana huwa najua mzee mizigo yako utakuwa ni balaa?