Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_20260912_190634_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260912_190634_SportyBet.jpg
    141.1 KB · Views: 16
Daah odds 350+
Wakuu opt rahisi kwa sasa ni hii assist.
Naomba kesho tuhitishe kikao cha dharura tuichambue hii opt.
Ikifika saa 4 ahsubuhi
 

Attachments

  • Screen_Recording_20260913_000308_SportyBet.mp4
    24.2 MB
Kesho saa 4 ahsubuhi wakamaria wa humu tuna kikao.
Kuna dalili kanji akapigwa kesho.
Lost ya odd 200+.
Team zilizo chana ni zilizotoa sare ya 0,0 hii opt ina hela wazee.
Nataka kesho tukae seneti tuchambuee kwa kupiga msasa wa kwenda shulee
 

Attachments

  • Screen_Recording_20260913_000818_SportyBet.mp4
    12.2 MB
Odd 650+
Cut team 2 tena
Kwa ile.ile opt.

Kesho kuna kila dalili kanji akaacha ndalaa
Saa 4 tukutane wakamaria
 

Attachments

  • Screen_Recording_20260913_001306_SportyBet.mp4
    9.6 MB
Nasisitiza kesho saa 4 tuna jambo letu humu.
Kanji ana acha ndala, natarajia.kupeleka.msiba mzito sana kwake siku ya kesho.

Mkeka utakuwa wa team 15
Odds 600

Team 20
Odds 1000

Teams 30
Odds 20K

Teams 50
Ovaflow.

Msikose kesho saa 4.
Kesho tunaweka heshima humu jukwaani.
Jf itahamia humu kwa muda baada ya watu ku boom
 
Back
Top Bottom