Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Haya...wale wa kushinda wote nimewaomba wapate angalau Kona 2 tena ...Jana timu 49 zimeua 9 40 zimevuka ... Na sio kwamba hawakupata Kona walipata moja moja wote .. na chaguo la Kona kuzidi moja odds ni 1.025 zinacheza humo ... Chaguo ni lako hizi ni odd 347...unayemuogopa mtoe.
 
Kampuni gani hilo boss?
 
Mwaga moto mkuu, nipo seat ya mbele sana sitaki kupitwa
 
nipo siti ya mbele kabisa
 
Ya sportbet hauna mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…