Hadi kutengeneza mkeka kama huo ujue kaumiza kichwa kwa namna yakeHivi kwanini wale wasioumiza kichwa sana kubet ndio huwa wanapiga mshindo mkubwa?View attachment 3671251
Picha linaanza jamaa kaplace mkeka usiku kabisaa it means aliumiza kichwa na alifanya chaguzi zenye nidhamu kutengeneza odds 3000+ alafu kwa option zenye odds 1.14 na kuendelea utulivu wa hali ya juuHadi kutengeneza mkeka kama huo ujue kaumiza kichwa kwa namna yake
Yes unaona ata selection ya market alizokua anagua hapo unaona kabisa mwamba aliumiza sana kichwa, alafu mtu anachukulia poa.Picha linaanza jamaa kaplace mkeka usiku kabisaa it means aliumiza kichwa na alifanya chaguzi zenye nidhamu kutengeneza odds 3000+ alafu kwa option zenye odds 1.14 na kuendelea utulivu wa hali ya juu
Sure ,yaan usiku mtulivu ndio mzuri kwa kutengeneza code hasa kama huna kero yoyote na mtu either mke/mme, rafiki nduguYes unaona ata selection ya market alizokua anagua hapo unaona kabisa mwamba aliumiza sana kichwa, alafu mtu anachukulia poa.
Hii kazi ni ngumu
Hakika mkuu, Tena mke ndio ana makwazo zaidi akiona upo busy na simu anajua unachatiSure ,yaan usiku mtulivu ndio mzuri kwa kutengeneza code hasa kama huna kero yoyote na mtu either mke/mme, rafiki ndugu
Pole sana, kile kikosi Chao Tia maji, niliona hakuna kitu wataenda kufanya, ukifuatilia match zao zilizopita, ni kutia huruma tuuhVp hakuna aliyemuamini al nassr humu leo
Hakuna maridhiano hapo, hapo inatakiwa kanji azitapike zote hakuna kuacha ata miaKanji anataka maridhiano huku