Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii kazi ni ngumu sana tena sana wakuu
Kazi rahisi sana Discipline tuu
Kama uchoka kupunwa na kanzi utaweka Discipline
Kama umechoka kukaa kifala utaweka Discipline
Kama una hasira na lost utaweka Discipline
Ni kazi Gani au biashara gani unaweza weka 200k alaf asbh ukaamka na 300k faida lakii?
Tukienda kwa strategies haya makampuni yanasepa
Nataka nitengeneze Chanel kila siku tupune odds 1.3-2 timu moja au 2 tuu tumemaliza
Ndani ya mwezi kwa Discipline ya German Sherpard ntakuja na mrejesho Hapa
 
Hii kazi ni ngumu kuliko kazi zote asikuambie mtu, discipline ipi unayoongelea wewe?
Nilikua Nina discipline ya kucheza handicap :2 of course rate ya win ilikua kubwa haswa lakini still bahati inahitajika
 
View attachment 3671239
BET OF THE DAY ⚽

Kampuni: Betjam

Code👉 FSPCV

📌Jisajili Betjam Hapa👇👇

https://bjam.to/bet255

https://bjam.to/bet255

📌Promo Code👉: BET255

Application Download 👇👇

https://bjam.to/bet255apk
1000652612.png

BOOOOOOOM ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

3.3 ODDS BOOOM ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

1.1 MILLION WON✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

📌Jisajili Betjam Kwa Kutumia Promo Code👉 BET255 Upate Bonus Ya Mpaka 250k.

Jisajili Hapa 👇

https://bjam.to/bet255

https://bjam.to/bet255

📌Promo Code👉 BET255

📲 Download App Here👉: https://bjam.to/bet255apk
 
Kuna NEW COMERS humu eeeee🤣🤣🤣🤣

Utawajua tu kwa comments zao

Mara ODDS mbili tu lazima ule
Mara Strategies
Mara Umakini
Mara utulivu and blaa blaa

Kuna vichwa vilikuja humu,Tena vipo Sawa sana na mitaji,vilianza Rollovers kila mmoja aliondoka Bila kuaga,kimya kimya

In betting hakuna Sure ODDS Wala stakes zinazoguarantee winnings.

Umakini kidogo na Bahati iwepo kwako, thats All
Otherwise ni ndoto za Mama Amina kujifananisha Komwe na Rihanna

Na those who win mikeka mikubwa huwa Wala hawana mbwembwe kabisaa,wakmyw mnoo

Nenda Pale Kinondoni kwa watoto wa Mjini kuna Kijiwe pale kwa kina Mike Big,watu Mtaji mdogo milioni mbili daadeki halafu wapo kimyaa hujui kama ni kijiwe cha WAWEKEZAJI
 
Kazi rahisi sana Discipline tuu
Kama uchoka kupunwa na kanzi utaweka Discipline
Kama umechoka kukaa kifala utaweka Discipline
Kama una hasira na lost utaweka Discipline
Ni kazi Gani au biashara gani unaweza weka 200k alaf asbh ukaamka na 300k faida lakii?
Tukienda kwa strategies haya makampuni yanasepa
Nataka nitengeneze Chanel kila siku tupune odds 1.3-2 timu moja au 2 tuu tumemaliza
Ndani ya mwezi kwa Discipline ya German Sherpard ntakuja na mrejesho Hapa
Kwanini utengeneze channel mkuu.
Hizo adds 2 kama una uhakika nazo uwe unaziweka humu watu turuke nazo hakuna haja ya kutengeneza channel
 
Treni limeanza jana, na limemaliza kituo cha kwanza salama
 
Attachments

  • IMG-20260916-WA0002.jpg
    IMG-20260916-WA0002.jpg
    135.2 KB · Views: 11
Back
Top Bottom