Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Hajawah kua seriousAC Millan ni wezi hawa jamaa
Hajawah kua seriousAC Millan ni wezi hawa jamaa
Hufuatilii mpira.AC Millan ni wezi hawa jamaa
Za leo hazinipiti.Ulietaka ODDS 2
BOOOOOM 💪💪💥🔥🔥🔥🔥🔥💪💥🔥💥🔥💥🔥💥💥🔥
Leo nayo ni siku ngoja nije na nyingine
Za leo hazinipiti.
Solve vipengele
Sawa mkuu yawezekana sifuatilii kweli lakini sikumpa mazima kwamba ashindeHufuatilii mpira.
Benfica ni moto mkali mzee
Ulietaka ODDS 2
BOOOOOM 💪💪💥🔥🔥🔥🔥🔥💪💥🔥💥🔥💥🔥💥💥🔥
Leo nayo ni siku ngoja nije na nyingine
Ana uwezo mkubwa wa stake.Mtu ambae anashangilia odds mbili uwa simwelewi kabisa
Ana uwezo mkubwa wa stake.
Akiweka million 1 ujue kapata milioni 2
Kuna watu Huwa wanacheza rollover ya hizo odds 2 na mikeka inachanika hawafiki round 7,8To me mtu akipiga odds zaidi ya kumi hapo sawa ila sio odds mbili,
Unakosaje odds mbili ? Weka kona weka faulo, weka shot over Yan odds mbili huwez kukosa
Dogo Ndo umeanza kubet sio ?To me mtu akipiga odds zaidi ya kumi hapo sawa ila sio odds mbili,
Unakosaje odds mbili ? Weka kona weka faulo, weka shot over Yan odds mbili huwez kukosa