hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
Dogo Ndo umeanza kubet sio ?
Uwage na heshima, hapa sio Facebook
Dogo Ndo umeanza kubet sio ?
Kuna watu Huwa wanacheza rollover ya hizo odds 2 na mikeka inachanika hawafiki round 7,8
Weka hapa hizo odds mbili watu wafuateI think atakuwa anafeli kwenye uchaguzi wa ligi
Uwez kukosa odds mbili kwa EPL kwa kuweka kona, shots over,
Uwez kukosa odds mbili Spain kwa kuweka faulo
Yan me sielewi mtu anakosaje odds mbili
Mtu ambae anashangilia odds mbili uwa simwelewi kabisa
Sidhani mkuu, labda kwa kutusaidia unaweza kutuwekea adds 2 kwa siku 5 mfulilizo tuka boom mkuu.I think atakuwa anafeli kwenye uchaguzi wa ligi
Uwez kukosa odds mbili kwa EPL kwa kuweka kona, shots over,
Uwez kukosa odds mbili Spain kwa kuweka faulo
Yan me sielewi mtu anakosaje odds mbili
Harudi huyoSidhani mkuu, labda kwa kutusaidia unaweza kutuwekea adds 2 kwa siku 5 mfulilizo tuka boom mkuu.
Fanya hivyo kuanzia kesho tupe ofa odd 2 tu
Sidhani mkuu, labda kwa kutusaidia unaweza kutuwekea adds 2 kwa siku 5 mfulilizo tuka boom mkuu.
Fanya hivyo kuanzia kesho tupe ofa odd 2 tu
Hamna odds zisizochana kama huamini tuletee daily hizo odds 2I think atakuwa anafeli kwenye uchaguzi wa ligi
Uwez kukosa odds mbili kwa EPL kwa kuweka kona, shots over,
Uwez kukosa odds mbili Spain kwa kuweka faulo
Yan me sielewi mtu anakosaje odds mbili
Sportbet mkuuKabisa bila shida, unatumia kampuni gani?
Weka hapa hizo odds mbili watu wafuate
Lete za kampuni yoyote unayotaka weweKabisa bila shida, unatumia kampuni gani?
Vizuri sana ngoja nianze kuchukua codes zako nione trend itakavyokua.5361ES Sport bet, za leo
Mkuu unaongea kwa urahisi hivi!! Upo seriously kweli na hii game 🤣🤣 watu wangekuwa matajiri au mwenzetu tajiri,,an odds mbili unaweza kupigwa kama kawaidaTo me mtu akipiga odds zaidi ya kumi hapo sawa ila sio odds mbili,
Unakosaje odds mbili ? Weka kona weka faulo, weka shot over Yan odds mbili huwez kukosa
Balaa Mkuu jamaa sijui mgeni au Vipi ajaribu kustake au yeye hataki utajiri Ili aboom dailyKuna watu Huwa wanacheza rollover ya hizo odds 2 na mikeka inachanika hawafiki round 7,8
Itakuwa ameanza juzi huyu an watu tungekuwa matajiri,,au mwenzetu tajiri itakuwa anaboom miaka yote hii kila siku odds mbili na hasemi 🤣🤣🤣 ila watu vituko sanaWeka hapa hizo odds mbili watu wafuate
Watu tushatafuta odds 1.5 na tukakosa 😂.Mkuu unaongea kwa urahisi hivi!! Upo seriously kweli na hii game 🤣🤣 watu wangekuwa matajiri au mwenzetu tajiri,,an odds mbili unaweza kupigwa kama kawaida
🤣🤣Mkuu mbona unamfanyia hivo ninecheka kweli,,namba F huyo hamjui kanji vizuriSidhani mkuu, labda kwa kutusaidia unaweza kutuwekea adds 2 kwa siku 5 mfulilizo tuka boom mkuu.
Fanya hivyo kuanzia kesho tupe ofa odd 2 tu