JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Ukipata wafanyakazi wote kama hawa!... siku yako itaisha vizuri na mapema sana!
Dah kila dakika moja goli au ndani ya dakika moja goli mbili alooo wanapiga cha njiwa sio poa 🔥🔥🙌Ukipata wafanyakazi wote kama hawa!... siku yako itaisha vizuri na mapema sana!
View attachment 3672790
Hii game watashinda second halfKuweni makini na mancity hii line up aloanza nayo leo ya kijinga
Nimempa aongoze first and second halfHii game watashinda second half
Anayesema odds 2 ni rahisi naomba alete siku 7 mfululizo zikitiki zote nitampa 450,000 hata kwa mwanasheria tuandikishane. Hii kazi nina miaka nane sijawahi kufanikisha kushinda mfululizo siku 7 kwa uhakika, nilishinda mara 9 ila kwa kubahatisha tu na kuponea chupuchupu mikeka inatiki dakika ya 94
duuhMy point ni kwamba, uwa simwelewi mtu akishangilia kushinda odds mbili, because kushinda odds mbili ni 99.9.9% hasa kama unajua kucheza kwenye ligi kukwa na timu kubwa
Nimekupa mfano, getafe always mpe 4.5, Barcelona mpe kona au over shots,
Man city man united wape kona au shots
Unakosaje odds mbili wiki mzima ?
Labda unambie unacheza kwa 1 X 2
Basi ondoa shaka amekusikia mkuu upo sehemu salamaAnayesema odds 2 ni rahisi naomba alete siku 7 mfululizo zikitiki zote nitampa 450,000 hata kwa mwanasheria tuandikishane. Hii kazi nina miaka nane sijawahi kufanikisha kushinda mfululizo siku 7 kwa uhakika, nilishinda mara 9 ila kwa kubahatisha tu na kuponea chupuchupu mikeka inatiki dakika ya 94
Mkuu Bomu lako limeenda vilivyo ngumu kumeza imetoa yataka moyo sana 🙌Bila kuchelewa
Mkuu Bomu lako limeenda vilivyo ngumu kumeza imetoa yataka moyo sana 🙌
Hapo mzee pazitoNimempa aongoze first and second half
Hivi hii option ya Under mfano
Under 0.5, 1.5, na kuendelea
Ukiweka under 4.5, afu game imeisha bila timu kufungana kabisa, hapa unakua umeshinda?
Hii Pesa tume kulaBetPawa
BCAYCL5