Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,438
- 15,674
Tena huo unakuwa ushindi wa kishindo wa 99.999% hauna mashaka kabisa sio ile umeomba under 2 halafu mechi inatoka 2-0.Hivi hii option ya Under mfano
Under 0.5, 1.5, na kuendelea
Ukiweka under 4.5, afu game imeisha bila timu kufungana kabisa, hapa unakua umeshinda?