Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tena unakuta hizo goli 2 zimeingia ndani ya dakika 20, hapo una kazi ya kubana pumbu kwa dakika 70 lisiingie goli yaani u unakuwa kama unauguza mgonjwa wa ukimwi wa miaka ya 1999.
🤣🤣🤣Sure mkuu mimi sikuhizi siwekagi under,nilikosa utajiri inter alimbabua mtu goli sita sitosahau na yeye alipigwa mbili an vurugu tupu
 
Yule wa odds uhakika leo haonekani aliniquote na code ya sportybet niliicheck nikaona mechi kama mbili hivi kaweka under nikaupotezea ila kuna waliufuata wanasema umechanika 😅😅
🤣🤣Jamaa alikuja kwa moto kwamba odds mbili hachani anatushangaa tunalost odds mbili aloo jamaa muhuni sana anaongea kama mtoto
 
Muda wa kumwaibisha shetani tunaondoka
IMG_20260918_181529.jpg
 
Mkuu

Yaani kama juzi PSG kashindwa pata goli 2 mwenzie city kushinda akiwa na red nimepigwa 150k kisa yeye.
Usijari mkuu mimi nimepigwa sana week iliyopita na hii,, Madrid ile mechi aliyopigwa angesuruhu ningekula laki saba niliweka laki nne,,sijapumua vizuri fenerbahce apate goli moja nikaliwa laki,sijakaa sawa mechi ya trabzospor ile ya wakina salar wapate goli nikapigwa,,sijakaa sawa wale waarabu walipigwa chuma bila kupata goli,, kwahiyo kama kupigwa ni basic needs tu,,,lakin nashukuru ilikuwa pesa yake sikuwahi deposit nilikuwa naliwa pesa niliyomla ni balaa mkuu
 
Nimeanza kubet kwenye makaratasi kabla online hazijaanza, eeh una swali lingine?

Huyo Kanji inategemea unabet options gani? Kwamb man city vs Norwich dakika 90 hamna kona Hamna faulo, hamna shot over?

Madrid anakosaje offside? Barcelona anakosaje kona? Getafe anafungaje goli 5+?

Yan me sielewi odds mbili unakosaje

Unless unacheza 1 X 2 hapo sawa
Rudi hapa mzee tunasubiri odds mbili za uhakika
 
Usijari mkuu mimi nimepigwa sana week iliyopita na hii,, Madrid ile mechi aliyopigwa angesuruhu ningekula laki saba niliweka laki nne,,sijapumua vizuri fenerbahce apate goli moja nikaliwa laki,sijakaa sawa mechi ya trabzospor ile ya wakina salar wapate goli nikapigwa,,sijakaa sawa wale waarabu walipigwa chuma bila kupata goli,, kwahiyo kama kupigwa ni basic needs tu,,,lakin nashukuru ilikuwa pesa yake sikuwahi deposit nilikuwa naliwa pesa niliyomla ni balaa mkuu
Umenikumbusha game ya Trab ya kina salah waliyoloose walishindwa kupata hata goli 1 nilikosa mia7 kwa stake mbuzi
Pale nilifunga biashara wacheza kamari wa Uturuki,
Nilibak naikumbuka kauli ya Mourinho
Alaf sku ile Al Nassr alisare 1-1 nilichukuwa GG iliuma sana
 
Back
Top Bottom