itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
Sikustake kaka ile ni hatari.. don't try it at home 🤣🤣Eeh boss imetoa vipi uliishi nayo?
Sikustake kaka ile ni hatari.. don't try it at home 🤣🤣Eeh boss imetoa vipi uliishi nayo?
🤣🤣🤣Unabana wasifunge jingineTena huo unakuwa ushindi wa kishindo wa 99.999% hauna mashaka kabisa sio ile umeomba under 2 halafu mechi inatoka 2-0.
Aliyeokota hizi mbili jana congratulations 🎉
Hajui chochote porojo tuDogo Ndo umeanza kubet sio ?
Sikustake kaka ile ni hatari.. don't try it at home 🤣🤣
Tena unakuta hizo goli 2 zimeingia ndani ya dakika 20, hapo una kazi ya kubana kwa dakika 70 lisiingie goli yaani unakuwa kama unauguza mgonjwa🤣🤣🤣Unabana wasifunge jingine