Yeah mkeka wa kutolea macho upo kimaana upo na uwezekano hata asilimia 60 za kuwin na huwa unaweka stake bwanga kidogo lakini odds bwanga huwaga naweka stake kiduchuSio utani mzee kumbe Kuna mikeka ya ya kuutolea macho.. Usiogope odds 😁
Balaa tupu mkuu kwahiyo tunapigika lakini tunakomaa kwa sababu tumetaka wenyewe huruma sio Malezi hatupaswi kutia huruma,,Umenikumbusha game ya Trab ya kina salah waliyoloose walishindwa kupata hata goli 1 nilikosa mia7 kwa stake mbuzi
Pale nilifunga biashara wacheza kamari wa Uturuki,
Nilibak naikumbuka kauli ya Mourinho
Alaf sku ile Al Nassr alisare 1-1 nilichukuwa GG iliuma sana
HAYA kwenye Mfumo WETU Sasa
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET
ODDS : 2
CODE : 654GDQ
Tuonane Usiku
View attachment 3673238
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET
ODDS: 2 extraaaaaaa
CODE : 65TLD0
Tuonane Usiku
View attachment 3673245
Dalili za MIMBA ya Wema Sepetu zilianza hivi hivi kama zako54RDCE Sportbet boooooom 🔥
Haya leo nimewaonesha wazee wa odds mbili, narudia tena uwa simwelewi mtu anabet odds na akishinda anapiga makelele, odds mbili ukikosa ndio upige makelele
Dalili za MIMBA ya Wema Sepetu zilianza hivi hivi kama zako
Ila ukijifungua AKILI zitarudi
Halafu hii sio Page ya Mipasho kama Mtoto wa KIKE
Kila mtu aweke ODDS anavyotaka maana hakuna mtu anamtafutia mwenzie PESA ZA KuBET
Na sometimes akili ya mtu utaijua kwenye content za anachoongea
Weka CODES unavyotaka Maisha yaendelee, Mipasho mwachie Zuchu
WON ✅BetPawa
1K14TOE
Safiii mdau, haya NDIO mambo tunayotaka 👏👏👏👏👏👏👏💥💥💥💪💪💥💥💥WON ✅
Next time usome umri wa kujiunga jf,
Na pia kabla ujajibu hoja ya mtu kwanza usome huko juu kulikuwa na hoja gani, sio unakimbilia tu
And nikukumbushe tu hili sio jukwaa la kutafuta wapenzi