Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Safariiiiiii inaendeleaaaaaa

SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 2 extraaaaaa

CODE : 6QRW2L

Screenshot_20260919-113257.png
 
Mjadala mpana sana humu.
Kila mtu anashinda kutokana na anavyotaka yeye.

Na kila mtu anabakwa na kanji kwa namna aliyochagua.

Aliyeshinda odds 2 hata 1 n kafikia malengo yake.
Na aliyeshinda odd 10 mara elfu n kafikia malengo
.wote humu adui yetu 1 ambaye n kanji.
Apigwe kwa namna yoyote ile.

Unamsema aliyeweka odd 2 aka stake 1M aka win 2M faida 1M.

Halafu wewe umeweka buku au jero kwa uka win odd 100 kwa kupata elfu 50 au uka win odd elfu 1 ukapata laki 5.
Nani aliyepiga mshindo wa maana??

Wawekezaji wa odd 2 au 1 msivunjike moyo.
Na kama mtu anajua anaweza kuleta odds 2 za uhakika asiwe na choyo aweke kwa wenye uhitaji nazo.

Na kama hauwezi basi kaa kimya kuliko, odds hutoi kazi kuwaponda wenzako hii haijakaa sawa.

I think hoja haikueleweka, na hiyo ishu ya odds mbili me ndio nilisema,

Hoja yangu nilisema nashangaa na sielewi mtu akibet odds mbili akapata akashangilia because unakosaje odds mbili? Me nadhan ukibet odds mbili na ukakosa hapo ndio unatakiwa useme,

The way options zilivyokuwa nyingi unakosaje odds mbili? Unless unabet 1x2

Na jana nimetoa mfano odds mbili nimeweka na zimetoa

Hata leo naweza kuweka na zitatoa because ni easy kuwin odds mbili
 
Wakuu punguzeni mipasho ndani hapa hili sio jukwaa la masemango ni wawekezaji.tupunguze ujuaji naona toka juzi humu kumekuwa kama kuna ushindani wa hovyo usio na manufaa.
 

Attachments

  • Screenshot_2026-09-19-12-29-16-556_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2026-09-19-12-29-16-556_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    97.7 KB · Views: 12
Wakuu punguzeni mipasho ndani hapa hili sio jukwaa la masemango ni wawekezaji.tupunguze ujuaji naona toka juzi humu kumekuwa kama kuna ushindani wa hovyo usio na manufaa.
Haswaaa NEW COMERS anatafuta KIKI za kizamaniiiiiiiiiii

Leo WEEKEND siku ya CODES kumwagika mtu analetwa UZAMWAMWA

Haya Wadauuuu CODES zimwagikeeeeeeeee


Mwanga CODES
Mwanga CODES
 
Back
Top Bottom