Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Point yangu, kushinda kwa odds mbili ni 99% kuliko kukosa,

So ukikosa ni jambo la kushangaa why umekosa, ila ukipata ni kawaida,

Na ule ambao nilikosa, mashuti yalikuwa 22.5 na yalifika 22.5, but me nilisema over

Na sio kwamba nilisema mashuti 22.5 na yakawa 18
Wewe weka kuna watu tunakufuatilia nataka nione mwisho wako itakuaje maana hata ukipata tu kwa 99% tutakua tumekuza mtaji parefu sana.
 
Kete ya mwisho!
1000174771.jpg
 
Back
Top Bottom