Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Fansport Kaka... Yaani hapo kabaki sporting v Arouca, venezia v lazio na river plate v huracan ..hao vibonde wasipate dakika zile.Kampuni gani hii
Fansport Kaka... Yaani hapo kabaki sporting v Arouca, venezia v lazio na river plate v huracan ..hao vibonde wasipate dakika zile.Kampuni gani hii
Kila la heri wkend isipote bureFansport Kaka... Yaani hapo kabaki sporting v Arouca, venezia v lazio na river plate v huracan ..hao vibonde wasipate dakika zile.
Leo ni kubondwa tu, nashindwa kuelewa hii weekendDah barca vp tena anafanya yeye ndo tumaini la mwisho kwa leo
Pamoja kaka ...Kila la heri wkend isipote bure
Unaambiwa mbappe kasusia kula mpaka sasa yupo uwanjani anapashaRaphinha ni Moto wa kuotea mbali huu msimu
Hii kazi kutanuka moyo ni swala la muda tuKwisha habari...... Sporting karuhusu dakika ya 80.....
Red card imezinguaKwisha habari...... Sporting karuhusu dakika ya 80.....
Kisukari lazima kipande.Kwisha habari...... Sporting karuhusu dakika ya 80.....
Rekebisha huu mkeka hizi direct win haziwez toa zote!.
AwekajeRekebisha huu mkeka hizi direct win haziwez toa zote!.