Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Swala la odd n kutokana na kampuni.
Sportbet wanaongoza kwa kuwa na odd kubwa.
Hawana tofauti kubwa kuna baadhi ya optiona wanatofautiana kwa zamu. Mfano angalia (2UP) hapo 1xbet kamzidi parefu sana sportybet wakati normal ni karibia sawa tu.
Screenshot (156).png
Screenshot (157).png
 
5BGDAU spotbet twende odds 2 jaman
😫😩😫😩🕵️🐗

BET LOST

Watu wanasafiri na wewe mpaka uheshim ODDS 2

Haya Leo nayo ni Siku weka Tena,maana lengo lako tunakuelewa wengine wanasaikolojia wamo humu

Tupia mwingine mwanawani,kisha utajua Heshima ya ODDS in Betting

Mwisho wa Siku utapotea kama ushuzi wa Bodaboda na upepo
 
Hahaha haaaa dah! uko na yeye bene bene mpaka aheshimu odds 2. Watu wanashukulia odds mchezo sana. Ukiwa na uwezo wa kutengeneza odds 2 zenye uwezekano wa kula kwa kwa mtaji wa 20,000 tu kwa wiki unakuwa na 2,560,000 kitu ambacho wakamaria tumeshindwa halafu mtu anatokea anasema odds rahisi.
 
Back
Top Bottom