Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Oya sio poa wawekezaj...!
Hii kampuni kampuni ya kutapeli sana Angalau hata LEON BET Jana nime win mkeka mpk muda huu hela ajaijasoma kwenye AKAUNT blabka kibao , simu hawapokei ,love chart napo hovyo , kule inster hakuna mtu anayelike Wala kuccoment tuwe makini sanaVUNJABEI BET Je ni kampuni mpya na si matapeli?
Subil vunja bei hauze majinsi atakutumia hela yakoHii kampuni kampuni ya kutapeli sana Angalau hata LEON BET Jana nime win mkeka mpk muda huu hela ajaijasoma kwenye AKAUNT blabka kibao , simu hawapokei ,love chart napo hovyo , kule inster hakuna mtu anayelike Wala kuccoment tuwe makini sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kimya sana humu naona wakamaria tupo bize tunaandaa mashamba kwa ajili ya elnino maana wiki iliyopita kanji katupa kipigo cha mbwa koko.
🤣🤣🤣🤣Hahaha haaaa dah! uko na yeye bene bene mpaka aheshimu odds 2. Watu wanashukulia odds mchezo sana. Ukiwa na uwezo wa kutengeneza odds 2 zenye uwezekano wa kula kwa kwa mtaji wa 20,000 tu kwa wiki unakuwa na 2,560,000 kitu ambacho wakamaria tumeshindwa halafu mtu anatokea anasema odds rahisi.
Tupo Mzee Baba....! 👊🏾Wakuu mpo
Run way 3/5