Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeanza jana na imetoa, na leo naweka nyingine na itatoa
Unasema Jana wakati hata juzi ulisema na code ukaweka hapa wote tumeona umechanika.
Au unadhani tumesahau?

Kupata odds 2 mtu yeyote anaweza.
Pointi Iko pale pale, mkeka kuchanika Kwa hizo odds mbili ni uhakika haikwepeki.

Juzi umeweka hapa na wote tumeona umechanika.

Ukisuka mkeka wa odds 2 na ukashinda Kwa siku 3 zote usijione wewe ni bingwa wa betting, mkamaria yeyote anaweza hiyo
 
Point yangu, kushinda kwa odds mbili ni 99% kuliko kukosa,

So ukikosa ni jambo la kushangaa why umekosa, ila ukipata ni kawaida,

Na ule ambao nilikosa, mashuti yalikuwa 22.5 na yalifika 22.5, but me nilisema over

Na sio kwamba nilisema mashuti 22.5 na yakawa 18
 
Pointi ni kwamba mkeka ulishinda au ulichanika?

Jibu ni kwamba mkeka ulioleta wa odds 2 ulichanika,
Kwamba ulichanika Kwa asilimia ngapi hiyo siyo hoja, kikubwa ni kwamba mkeka wako ulichanika.
 
Jana niliweka, ukatick na leo nimeweka utatick na kesho naweka utatick then ndio utaamini maneno yangu kuwa odds mbili sio za kukosa
 
Point yangu, kushinda kwa odds mbili ni 99% kuliko kukosa,

So ukikosa ni jambo la kushangaa why umekosa, ila ukipata ni kawaida,

Na ule ambao nilikosa, mashuti yalikuwa 22.5 na yalifika 22.5, but me nilisema over

Na sio kwamba nilisema mashuti 22.5 na yakawa 18
Pointi ni kwamba mkeka ulishinda au ulichanika?

Jibu ni kwamba mkeka ulioleta wa odds 2 ulichanika,
Kwamba ulichanika Kwa asilimia ngapi hiyo siyo hoja, kikubwa ni kwamba mkeka wako uloch
Jana niliweka, ukatick na leo nimeweka utatick na kesho naweka utatick then ndio utaamini maneno yangu kuwa odds mbili sio za kukosa
Zile ulizokosa juzi zilikuwa odds mia au zilikuwa odds 2?
 
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 18

CODE : 55MEKL

Kipunda punda Style

Screenshot_20260919-153952.png
 
Back
Top Bottom