Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wa Roll-over ... TuanzieTia unachoweza... Kikitiki kiache ... Tunakicheza kesho... Siku 7 challenge... Ukianza na uTEN... Unamaliza na 200,000.... Ila uvumilivu unahitajika ... Twende kazi ...
 
Picha linaanza jamaa kaplace mkeka usiku kabisaa it means aliumiza kichwa na alifanya chaguzi zenye nidhamu kutengeneza odds 3000+ alafu kwa option zenye odds 1.14 na kuendelea utulivu wa hali ya juu
Yes unaona ata selection ya market alizokua anagua hapo unaona kabisa mwamba aliumiza sana kichwa, alafu mtu anachukulia poa.
Hii kazi ni ngumu
 
Yes unaona ata selection ya market alizokua anagua hapo unaona kabisa mwamba aliumiza sana kichwa, alafu mtu anachukulia poa.
Hii kazi ni ngumu
Sure ,yaan usiku mtulivu ndio mzuri kwa kutengeneza code hasa kama huna kero yoyote na mtu either mke/mme, rafiki ndugu
 
Sure ,yaan usiku mtulivu ndio mzuri kwa kutengeneza code hasa kama huna kero yoyote na mtu either mke/mme, rafiki ndugu
Hakika mkuu, Tena mke ndio ana makwazo zaidi akiona upo busy na simu anajua unachati
Ukiwa busy na PC anakwambia kazi kazini kazi na nyumbani kazi.
Mimi sio mtalaamu wa kutengeneza mkeka ila Huwa nachukua code za watu naanza kuchambua market ambazo naona zinanifaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…