Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye mechi nyingi, asilimia kubwa nyingi zinatiki, chache zinachana. Hii inatupa moyo wakamaria "ipo siku"

Hali ya nyingi kutiki, chache kuchana, ni ya wakamaria wote beginners na walioanza kitambo. Ndiyo ujue kwamba betting ni noma haina mwenyewe, wote sawa.

Tusichoke wazee, mapambano yaendelee.
 
Niko kwenye trial napima upepo wa basket ball na Ice hockey, msishange hiyo amount nnayoweka
 

Attachments

  • IMG-20260925-WA0001.jpg
    147.5 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…