Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Basket sijawahi kuiwekea mkeka japo naona wengi wakiiwekea mara nyingi inatoa embu nipe somo lake bwashee
Basket ni Risky sana kusuka treni maana mchezo kugeuka kibao ni chap tu. Kingine ogopa sana kucheza direct win kwani napo kibao kugeuka ni kawaida sana ndio maana kwenye betslip ya mwishoni hapa niliyoweka timu 2 niliandika kabisa 'Risky'.
Kiufupi kubetia Basketball inahitaji uwe unaujua huu mchezo vizuri kiasi lakini pia kwa msaada wa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali nao unachangia kiasi kikubwa ambapo hata unapoamua kuweka chaguzi basi unakua unafanya kitu unachokielewa kwa kuwa tayari unazo taarifa saidizi.
 
WANANGU WA UKWELI MZIGO HUO
UKIOGOPA WEKA SPAIN WIN OR DRW
 

Attachments

  • booking_code_5M1527.jpeg
    booking_code_5M1527.jpeg
    55.8 KB · Views: 11
Basket ni Risky sana kusuka treni maana mchezo kugeuka kibao ni chap tu. Kingine ogopa sana kucheza direct win kwani napo kibao kugeuka ni kawaida sana ndio maana kwenye betslip ya mwishoni hapa niliyoweka timu 2 niliandika kabisa 'Risky'.
Kiufupi kubetia Basketball inahitaji uwe unaujua huu mchezo vizuri kiasi lakini pia kwa msaada wa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali nao unachangia kiasi kikubwa ambapo hata unapoamua kuweka chaguzi basi unakua unafanya kitu unachokielewa kwa kuwa tayari unazo taarifa saidizi.
Vp kwa upande wa cash out kama game ikiwa anaendelea
 
Vp kwa upande wa cash out kama game ikiwa anaendelea
Basketball huku ndio kwenye mkuu. Option ni under and over ndio nzuri direct win achana nayo.
Kuna option za hindcap ya vikapu pia first half over or under au each quarter team ifike vikapu vingap.

Uzuri wa basketball vikapu ni vya kutosha sio mpira goli 1 dakika 90 halipatikani, huku Kila sekunde moyo unacheza na kuna surprise kibao within 30 seconds watu wanapiga vikapu hata 10.
Muda mwingine dakika hata 2 pia panaweza pasiwe na kikapu
 
KARIBU MRUSI EMPIRE – JIUNGE NA KAMPUNI BORA DUNIANI!


Sasa unaweza kuweka na kutoa pesa kwa urahisi kupitia mitandao yote ya simu kama Airtel, Tigo na wengineo – bila wakala! Jiunge na 1XBET, kampuni inayoongoza duniani kwa odds bora na huduma za kimataifa.


Jinsi ya Kujiunga Haraka na Rahisi:


1. Bofya Link ya Usajili:

Bofya Hapa


2. Chagua "In One-Click" kwenye ukurasa wa usajili, jaza taarifa zako za msingi.


3. Ingiza Promo Code: "Zawadi" ili upate bonasi ya kipekee baada ya usajili.


4. Utapokea ID na Password za kuingia kwenye akaunti yako. Ziweke salama!


5. Anza Sasa! Log in, weka pesa kupitia Airtel, Tigo au mitandao mingine, na ufurahie huduma za kampuni namba moja duniani.


Pakia App ya 1XBET kwa Android au iOS:

Download Hapa


Kwa Nini 1XBET?

- Huduma za kimataifa zinazoongoza

- Uweka na kutoa pesa kwa urahisi

- Bonasi za kipekee kwa wapya
 
Back
Top Bottom