MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Usikate tamaa mkuuUmechanika vibaya Sana huu, mechi 7 lost
Usikate tamaa mkuuUmechanika vibaya Sana huu, mechi 7 lost
Ushampiga kanji mkuu 🤣🤣🤣Wakuu kamari ni tamu ,usiache kamari utazingua🔥🔥
Duh 🙄Qmamake Denmark kashindwa kunipa kona 3 😁 hii kazi hii
Wapumbavu sana wale jamaaHawa wajermani sijui wamejipanga vipi alooo
Hili wiki limekuwa na milio mingi.
Wacha nisubirie FIFA break iishe nimechoka na hizi surprise.
Washenzi haoView attachment 3679514View attachment 3679515Kundi la wahuni
Kipa wa Uturuki mchele mcheleAsmodeus na wanawe Italy hawajakawia kunilaza mapema hata dakika 10 hazijaisha 😄