Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mamakee ani unaomba kona 7 zinatoka 6.
Mimi kuna siku niliomba kona 2 tu first half na huwezi amin haikutoka kona yoyote ile first half ile gam3 ya psg
Nilijibana kusuka mkeka kombe la dunia zilikua game kumi na tatu ilichana game moja tu spain vs na cape verde game amabyao sikuitegemea vile
 
Kuna namna hii game ina controliwa na nguvu za giza.
Unaweza chaniwa mkeka na team usiyodhania kabisa.

Kuna siku niliweka full match niliomba kona 3 tu ova 2.5 japo odds walikuwa wanatoa 1.12 nilisuka mkeka wa team 20 lakini team 3 hazikufikisha kona 3 tu full match
Nilijibana kusuka mkeka kombe la dunia zilikua game kumi na tatu ilichana game moja tu spain vs na cape verde game amabyao sikuitegemea vile
 
Swala la nguvu za Giza linawezekana. Haya makampuni yanafata misingi yote ya uendeshaji wa biashara ikiwepo utoaji wa kafara.
 
Asmodeus msome huyu ndio king of betting and lust.
Betting ipo controlled maana hii ni worldwide mzee, fikiria huko geita, singida, ikwiriri,amboni mpaka huku Yemen, tehran, Israel,china Singapore na Thailand sijui Estonia yaani kote wanatia mikeka πŸ˜„.
Options ni nyingi lakini tunapasuka tu.
Cha msingi tuendelee tu kutupia majamvi maana inavyocontroliwa hatujui
 
Oyaa yaani kila opt inakataa yaani
 
Option ni nyingi lakini kila option ngumu au ukiiweka inagoma kwako.
Nimetoka kumpa Cameron first half clean sheet tayari kashawekwa πŸ˜„
Mfululizo week nzima hizi game za ulaya first half hakuna Sub wala medical team leo nimeweka no medical team first half nashangaa dk ya 2 mtu kadondoka team imeingia uwanjani.
Asa najiuliza ni nguvu inakupelekea uweke hiyo opt au?
 
Asmodeus anakua anacheza na akili yako hapo πŸ˜„πŸ˜„ yaani dakika ya 2 tu ndani .
Kama vile Mimi tu kuwapa Cameron wasifungwe first half ghafla tu congo wasiokua mpira wanapiga mtu mapema
 
Sema umasikini na kukosa uthubutu tu. Hapa mtu kama unamtahi wa 1M au una laki laki zisizo na kazi kwa kubeti ki uwekezaji team 1,1 pesa yake si habaa
 
Attachments

  • Screenshot_20260929_230107_Helabet.jpg
    153.5 KB · Views: 13
Sema umasikini na kukosa uthubutu tu. Hapa mtu kama unamtahi wa 1M au una laki laki zisizo na kazi kwa kubeti ki uwekezaji team 1,1 pesa yake si habaa
Ukiwa na mtaji pia kazi Kila option unaiona ngumu mzee ,unaigusa na unaacha.
Bahati Ina matter most kwenye betting. Unaweza ukawa una 1M na ikapukutika yote
 
Asa hivi mwendo wa uwkezaji pesa kuigawa kwa opt unayotaka kubet single team
Ligi ilivyoanza nilipigwa laki6 mfululizo ikafikia kipindi nikaona nipumzike maana si kwa kipigo kile . Team 2 na Bado zilikua zinachana πŸ˜„
PSG , Liverpool, man UTD na zilikua zinacheza na vidagaa tu .
Atleast hii Sept nilirudisha hela yangu.
Ilifika kipindi nikawa Sina Imani na betting pamoja na uzoefu wote wa kula na kuliwa
 
Hapq nimeomba kona 1 tu second half hawa wa swiz wanaenda dk ya 85 no kona mamaaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…