Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
Stake ipo tayari weka code tuondokeSGR SOKOMOKO KABOKA MACHIZI linakuka
Wale wa SGR DREAM MAKERS kwani mkao wa kula andaa 500 tuuuuuu,utusue zaidi ya milioni 50,000, kupanga ni kuchagua
Hakuna sure ODDS but we live with dreams brooo
Narejea Saa Tisa na SGR SOKOMOKO
Kila mtu Aishi kwa anachoamini
Rockcity native muasisi wa huu uzi.. uliukimbia ukatuacha sisi tunakula vitasa vya kanji 😅🤣😂
Pamoja
Booom🔥🔥🔥✔✔✔Kama unaweza kuiwahiView attachment 3686996
Hahaaha poleni sana.Rockcity native muasisi wa huu uzi.. uliukimbia ukatuacha sisi tunakula vitasa vya kanji 😅🤣😂
mkuu samahani, kwan izo kampuni uchwara huwa mnatafuta nini?Wakuu, nahitaji msaada contacts za DBbet support please.
Naona namba za simu hawana, njia rahisi ya kuwasiliana na bookie wanaotumia white label ya 1xbet ni live chat ingawa kwa shida kubwa watakwambia utume email tu, ndio shida ya bookie ambaye amesajiliwa nchi zenye masharti nafuu ya kodi kama Curacao au Cyprus.Wakuu, nahitaji msaada contacts za DBbet support please.
Watu wanafata option nyingi na zenye nafuu, kuepuka kodi, wengine bonus abuser, na wengine wameshazoea app za mtindo ulemkuu samahani, kwan izo kampuni uchwara huwa mnatafuta nini?