Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Naona namba za simu hawana, njia rahisi ya kuwasiliana na bookie wanaotumia white label ya 1xbet ni live chat ingawa kwa shida kubwa watakwambia utume email tu, ndio shida ya bookie ambaye amesajiliwa nchi zenye masharti nafuu ya kodi kama Curacao au Cyprus.View attachment 3687352
Asante Chief ...
Nimewatumia email na reminders kadhaa, response ndio changamoto