1:1Tukalime wanetu kazi ngumu sana hii.
Arsenal analaza watu njaa leo
2UP maana yake nini mkuu?2UP inasaidia sana hasa kwenye situations za aina hii.
View attachment 3687740
Hongera sana mkuuArsenal to win odd zilikuwa 5 baada ya kufungwa nikamdata tena kwa buku 10
Simba leo mmejua KUNIFURAHISHA 🙏🙏🙏Mnyama kapewa odd 3???????????
Hii sasa dharau,namfuata mazima na 50k
NB; Nimebeti kama mshabiki lialia wa Mnyama